Category: Michezo
Medo amfukuzisha kazi Boniface Mkwasa
Aliyekuwa kocha mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa ‘Master’ amebwaga manyanga kunako kikosi cha Ruvu Shooting kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo ambayo imecheza mechi 15, ikishinda mechi 3, sare 2 na kupoteza mechi 10 huku wakiwa nafasi ya pili…
Hawamtaki Kisinda ila wanataka miujiza ya usjili.
Kuna mashabiki wa Yanga wanaamini Kisinda akiondolewa kikosini ghafla tu watapata bonge la winga linaloishi vichwani mwao. Mpira una njia zake, wanapaswa kumuheshimu Kisinda na makocha wanaompa nafasi ili aweze kuendana na mfumo wa timu. Wanayanga wanapaswa kufanya tathmini ya…
Aucho:Yanga zibeni masikio
Kiungo wa Yanga ambaye ni mchezaji bora wa Uganda kwa msimu uliopita, Khalid Aucho, amewataka mashabiki wa Yanga kuziba masikio na kuacha kusikiliza taarifa za uzushi kuhusu yeye. Aucho amepost picha yake katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ameziba masikio…
Mgunda apeleka vita kwao
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, yupo Jijini Tanga na timu yake ya Simba SC tayari kukabiliana na klabu ya Coastal Union ambaye ameinoa kwa muda mrefu kabla ya kujiunga na Simba SC ya Jijini Dar es Salaam. …
Mwinyi Zahera Kocha mpya Polisi Tanzania
Klabu ya Polisi Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga kuwa kocha wake mpya baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano ya pande zote mbili kufikiwa. Kocha huyo mwenye uraia wa Congo na Ufaransa atakuwa na jukumu kubwa la…