JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Sakho aifikishia Simba pointi 21

Baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Star jana,timu ya Simba SC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba ilipata bao la ushindi…

Simba yalazimisha sare na Singida Big Star

Klabu ya Simba Sc leo imeingia uwanjani kumefanyana na timu ya Singida Big Star mechi ambayo Simba Sc ikilazimisha sare ya 1-1 baada ya kusawazisha bao kipindi cha pili. Singida Big Star walianza kupata bao kupitia kwa nyota wao Deus…

Chama,Aziz Ki wafungiwa, Simba,Yanga watozwa faini

Viungo washambuliaji, Mzambia Clatous Chota Chama wa Simba Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso wamefungiwa mechi tatu kila mmoja kwa makosa yanayofanana.

Simba Queens yaingia nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Timu ya wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kuweka rekodi mpya katika soka la wanawake nchini kwa kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wanawake baada ya kuichapa timu Green Buffaloes Women ya Zambia, magoli 2 bila. Timu ya Simba…

Rais Malawi ampongeza Mkuu wa Majeshi ya ulinzi kwa ushirikiano

Na Meja Selemani Semunyu, Malawi Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ameishukuru Tanzania kupitia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda kwa ushirikiano inaouonyesha kwa nchi hiyo na jeshi lake kupitia michezo ikiwemo Gofu. Rais Chakwera aliyazungumza hayo wakati wa…