Category: Michezo
Azam FC yapata kocha mpya anayeijua soka la Afrika
Matajiri wa jiji la Dar es Salaam kutoka Chamazi Timu ya Azam FC Mwaka huu wamedhamiria baada ya kumleta kocha mwenye Makombe huku akiwa analijua zaidi Soka la Afrika Denis Lavagne,kutoka nchini Ufaransa. Kocha huyo raia wa Ufaransa, mwenye wasifu…
Barrick North Mara yaandaa ligi ya soka ya ‘Mahusiano Cup’ Tarime
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mara MgodiI wa dhahabu wa Barrick North Mara, kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, umeandaa mashindano ya soka ya kuwania kombe la ‘Mahusiano Cup’ yanayojumuisha vijiji 16 vinavyozunguka mgodi huo ambayo yalizinduliwa rasmi jana katika viwanja…
Simba yachapwa 1-0 na Arta Solar ya Djibouti
Licha ya kumiliki mpira kwa asilimia 61 Timu ya Simba imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wageni Arta Solar kutoka nchini Djibouti mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Shujaa wa Arta Solar…
Rais Samia:Nawapongeza wanangu Simba Queens kutwaa ubingwa CECAFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Simba Queens kwa kutwaa taji la Klabu ya Wanawake Afrika Mashariki na Kati jana. “Nawapongeza wanangu Simba Queens SC kwa ubingwa wa Afrika Mashariki wa CECAFA…