BAO la penalti la winga Mghana, Bernard Morrison dakika ya 45 na ushei limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Yanga inafikisha pointi 20 katika mchezo wa nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya Namungo FC na Mtibwa Sugar ambazo pia zimecheza mechi tisa kila ti

katika mechi 45 za ligi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu hiyo katika mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.

Shujaa wa Yanga ni Winga mtukutu Bernard Morrison aliipatia bao timu yake mnamo dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti baada ya beki wa Geita kuunawa Mpira ndani ya 18.

Kwa ushindi huo Yanga wamefikisha Pointi 20 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi hiyo.

Mchezo mwingine umepigiwa uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Tanzania Prisons imenusurika kufungwa na Namungo FC baada kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-

By Jamhuri