Category: Michezo
Kinywa cha Haji kinahitaji timu bora kiwanjani
NA MWANDISHI WETU Nchi ‘ilisimama’ kwa muda. Mitandao ya kijamii ilikuwa busy. Kila sehemu ni Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. YES! Manara amehamia Yanga na wiki iliyopita jioni moja hivi alitambulishwa katika hoteli moja ya kifahali katikati…
Hii ndiyo Yanga ninayoijua
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hii ndiyo Yanga ninayoijua. Inaingia sokoni kibabe, inasajili kibabe, kisha mashabiki na wanachama wake nje wanaanza kupiga mikwara mtaani. Simba si kama hawajasajili nyota, wamesajili nyota, lakini wako zao kimya katika ishu za mikwara…
Karibuni kwenye ‘show’ za Aucho
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Yanga walimalizana na Mganda Klalid Aucho. Aucho ni kiungo wa ulinzi anayefanya sana kazi kiwanjani. Hapa Yanga wamepata mtu wa shoka. Binafsi ni shabiki wa Aucho. Tena ni shabiki wake mkubwa. Tangu…
Messi na ukurasa wa mwisho Camp Nou
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kila zama na kitabu chake. Kila nabii na kitabu chake. Hii ni misemo maarufu katika jamii na hutumika mara kwa mara. Messi naye ana kitabu chake katika Klabu ya Barcelona na soka kwa ujumla…
Ally Niyonzima ameachwa Azam!
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam wanakifanyia marekebisho kikosi chao. Wanasajili kila uchwao. Licha ya kufanya usajili mkubwa wa mastaa mbalimbali, lakini pia wameachana na baadhi ya mastaa. Mmoja wa mastaa walioachana…
Kigoma kuna nini?
KIGOMA Na Mwandishi Wetu Kigoma kuna nini? Hii ni kaulimbiu yenye swali iliyotumika miaka ya 1980 wakati sherehe za Sabasaba zilipofanyika kitaifa mkoani Kigoma. Safari hii imejirudia lakini kwa aina tofauti na sasa ni mashabiki wa Yanga ndio wanaojiuliza Kigoma…