Category: Maoni ya Mhariri
Wananchi tuchukue hadhari, COVID-19 bado tunayo
Ugonjwa wa COVID-19 ulioanzia nchini China mapema mwaka jana na kusambaa duniani kote, unaendelea kugharimu maisha ya walimwengu wengi. Tanzania, kama yalivyo mataifa mengine ya Afrika na dunia, imeshaonja machungu ya uwepo wa maradhi haya hatari. Mwaka jana shule na…
Ripoti ya CAG, nafasi ya uwajibikaji kwa Serikali
Wiki iliyopita Rais Dk. John Magufuli akiwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, alipokea Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa mwaka unaoishia Juni 30, 2019 kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mujibu wa sheria…
Dar es Salaam ikiweza, Tanzania imeweza
Wiki iliyopita itabaki katika kumbukumbu miongoni mwa Watanzania wengi wa kizazi hiki kutokana na tishio la ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona kusababisha matamko na maelekezo kadhaa kutoka serikalini. Kwa mara ya kwanza katika miaka ya karibuni Tanzania…
Tujiandae kugharamia bajeti yetu kutoka ndani
Wiki iliyopita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, aliwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na kiwango cha ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2020/21. Katika wasilisho lake, Dk. Mpango alieleza kuwa kwa mwaka ujao…
Wananchi ndilo jeshi muhimu mapambano ya corona
Moja ya mijadala iliyotawala kwenye mitandao ya kijamii wiki iliyopita ni hatua ya Rais Dk. John Magufuli kuwaalika Ikulu baadhi ya viongozi wa upinzani na kufanya nao mazungumzo. Ukiacha mazungumzo hayo, mvuto pia ulikuwa katika picha za video zilizosambazwa na…
Kilwa hawakujenga mabondeni, wasaidiwe
Zimepita wiki kadhaa sasa tangu ziwepo taarifa za mafuriko makubwa kuvikumba baadhi ya vijiji katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Ukiacha watu 14 ambao waliripotiwa kufariki dunia, watu wengine zaidi ya 15,000 waliathiriwa na mafuriko hayo. Mkuu wa Mkoa wa…