Category: Maoni ya Mhariri
Matokeo utafiti wa habari yawe changamoto
Wiki iliyopita Taasisi ya utafiti ya Spurk Media Consulting Ltd ya Uswisi kwa kushirikiana na Baraza la Habari Tanzania (MCT), imetangaza matokeo ya utafiti wake uliohusu ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari nchini kwa mwaka 2018. Matokeo ya utafiti huo…
Mauaji Njombe hayakubaliki
Habari kubwa katika gazeti letu la leo inahusiana na mauaji ya watoto yanayoendelea mkoani Njombe. Serikali kupitia vyombo vya dola imeimarisha ulinzi na usalama Njombe. Bunge limeombwa kuunda kamati ya kuchunguza mauaji haya. Uchunguzi wa Gazeti hili la JAMHURI umebaini…
Tusikubali TAZARA ifilisiwe
Habari iliyopewa uzito wa juu kwenye gazeti hili toleo la leo inahusu ‘kuuzwa’ kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA). Mengi yamebainishwa kwenye habari hiyo, lakini lililo kubwa ni mpango wa ‘ubinafsishaji’ wake kwa kampuni ya Afrika Kusini….
Kamwe tusijisahau, tuwe macho dhidi ya magaidi
Kwa mara nyingine genge la magaidi limeshambulia na kuua majirani zetu kadhaa wa jijini Nairobi, Kenya. Imeripotiwa watu 21 wamepoteza maisha kwenye shambulizi hilo. Tunawapa pole ndugu wa marehemu, majeruhi na wote walioathiriwa kwa namna moja au nyingine na tukio…
‘Manabii’ wa kangomba wasakwe, waadhibiwe
Mwangwi wa kilio cha wakulima wa korosho unazidi kusikika pande zote za nchi. Idadi kubwa ya wanafunzi wamekwama kwenda shuleni. Wale waliofaulu darasa la saba wameshindwa kuripoti shule za sekondari kwa ukosefu wa nguo na vifaa vya masomo. Hata wale…
IGP inusuru Tunduru
Katika toleo la leo tumechapisha taarifa za magendo ya zao la korosho, maarufu kama ‘kangomba’ inayoendelea katika mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi. Kwa kiasi kikubwa, habari hiyo imejikita katika Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Tunduru. Watendaji wa umma katika…