Category: Makala
Mzee Butiku ateta na Dk Nchimbi kwenye mkutano wa hadhara Rorya
Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amekutana na kusaliamiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Joseph Butiku wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu . Dk.Nchimbi ambaye…
Mgombea ACT Wazalendo Jimbo la Sumbawanga achukua fomu
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Frank J. Maten, amekabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa Edwin Matondwa Kachoma mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Kachoma amesema kuwa anaimani atapata nafasi ya…
Zitto : Ni haki yetu kikatiba kushiriki Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema hakitasusia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 badala yake kitashiriki kikamilifu zoezi hilo kwasababu ni haki yao ya kikatiba . Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho cha…
Wananchi Manyara wanatambua falsafa za Mwenge wa Uhuru – RC Sendiga
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Manyara Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka na kukimbizwa nchi nzima ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Mwenge wa Uhuru hapa nchini…
‘Siku damu ilipogeuka mto, mashujaa 800 wa Litembo waliposimama kwa mishale dhidi ya bunduki’
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma Jua lilipozama Machi 4, 1902, milima ya Umatengo haikulisindikiza kwa machweo ya kawaida. Badala yake, anga lilitawaliwa na moshi mzito wa bunduki, vilio vya kina mama, na sauti za mwisho za mashujaa waliokataa kupigishwa magoti…