JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Muhimbili kuanzisha ‘Sober House’, kliniki ya magonjwa ya akili

………………………………………………….. Hospitali ya Taifa Muhimbili ina mpango wa kuanzisha Kliniki ya Magonjwa ya Afya ya Akili ikiwemo huduma jumuishi za waraibu wa dawa za kulevya katika Kijiji cha Marekebisho ya Afya ya Akili, kilichopo Vikuruti Kata ya Chamazi ili kupunguza…

‘Kukwepa kutumia maabara kumechangia ongezeko la magonjwa’

Na Catherine Sungura,JamhuriMedia,Dodoma Tanzania inakabiliwa na magonjwa ya kuambukizwa kwa asilimia 95 kutokana na baadhi ya watumishi kutopenda kutumia huduma za maabara hali hiyo imesababisha wagonjwa wengi wamekuwa wakitibiwa bila kupata uhakiki wa majibu kutoka maabara huku asilimia 90 ya…

Jafo:Waliovamia vyanzo vya maji waondoke haraka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo (Mb) amewataka wananchi wote waliovamia bonde la Ihefu ambalo ni chanzo cha mto Ruaha Mkuu kuondoka mara moja ili kuondokana na athari zilizopelekea mto Ruaha Mkuu…

Sheria kandamizi ni mwiba kwa wanahabari

Na Stella Aron,JamhuriMedia Serikali ipo tayari kupeleka mabadiliko ya sheri ya habari bungeni baada ya kikao cha mwisho kukubaliana baadhi ya mapendekezo hayo. Hiyo ni kauli ya Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye wakati akizungumza na uongozi…

Miaka 74 ya RECO Engineering Company na utoaji huduma za kisasa kwa wateja

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Ikiwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imejipambanua kuboresha mazingira ya uwekezaji,wawekezaji Wazawa wamekua wakiunga Mkono jitihada za Serikali katika shughuli za maendeleo. Kufuatia hatua hiyo Kampuni ya Wazawa ya RECO Engineering…

TANROADS: Kichocheo cha uchumi mkoani Songwe

Mpaka wa Tunduma unaounganisha mataifa ya Tanzama na Zambia ndio wenye pilikapilika nyingi kati ya mipaka yotenchini.  Hii inatokana na ukweli kuwa mpaka huu ndio unaopitisha asilimia kubwa yaa shehena inayoshushwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwenda mataita ya…