Category: Makala
Yah: Mkuu, huku mbwa atamla mbwa
Kama siku zote ninavyosema salamu ni ada, na ni uungwana kujuliana hali, nawashukuru sana wote wanaonitumia ujumbe wa simu kunieleza yale ambayo yamewakuna. Hata kama litakuwa si jema kwako, naomba unijulishe ili nijue kuwa nimekukera, sisi ni binadamu, hiyo ni…
NINA NDOTO (15)
Mambo ni mengi muda mchache “Muda ni kitu tunachokihitaji sana, lakini ndicho kitu tuna chokitumia vibaya,” anasema William Penn. Siku hizi ukipita mitaani utasikia watu wakisema, “Mambo ni mengi, muda mchache.” Ukweli ni kwamba mambo si mengi wala muda…
Katika kushindwa kuna mbegu za ushindi
Ushindi ni mtihani. Si kila anayepata ‘A’ darasani atapata ‘A’ katika maisha. Si kila anayepata daraja la kwanza kwenye mitihani atapata daraja la kwanza kwenye maisha. Ushindi ni mtihani. Katika kila kushindwa kuna mbegu za ushindi, na katika kila ushindi…
Ndugu Rais wanashangilia tu lakini mioyo yao haiko ‘clear’
Ndugu Rais, serikali ni sawa na mwanadamu. Haiwezekani kila kinachofanywa na serikali kikawa ni kibaya. Yako mazuri yanayofanywa na serikali. Na kuna maovu yanayofanywa na serikali. Hii ni kwa serikali zote – siyo hapa kwetu tu. Timamu hasifii kila jambo…
DAWASA: Tunazidi kuwafikia wateja wetu
DAWASA imejizatiti katika kuhakikisha inawapatia maji salama wakazi wote wa Jiji la Dar es Salaam pamoja na wale wa maeneo ya Mkoa wa Pwani. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja,…
NINA NDOTO (14)
Muda ni mali, utumie vizuri Watu wanaoishi ndoto zao ni wazuri sana katika suala linalohusu matumizi ya muda. Muda ni mali, utumie vizuri. Wakati mwingine utasikia watu wakisema muda ni pesa, lakini kwangu mimi jambo hilo ni la tofauti…



