JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nina ndoto

Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo. Akiwa na miaka 17 baba yake alitokea kumpenda sana maana alikuwa ni mwana wa uzee wake, akamtengenezea kanzu ndefu. Ndugu zake walipoona anapendwa zaidi wakaanza kumchukia. Siku moja Yusufu akaota ndoto na kuwaambia ndugu zake,…

Binadamu kutoka Afrika walivyozagaa duniani

Watu wa kale walitumia zana za mawe kuchinja mawindo yao. Katika kutekeleza hayo, huacha alama za chale kwenye mifupa. Hizi chale huweza kutambuliwa kutokana na umbo lake. Nyingi huwa na umbo la ā€˜V’ pamoja na mikwaruzo miembamba upande wa ndani…

Waraka wa korosho kwa Rais Magufuli

Natanguliza shukrani kwako Rais wetu mpendwa kwa utendaji kazi wako uliotukuka na ambao watu wa mataifa mengine wanatamani ungekuwa rais wao. Nchi nyingi zinakupigia mfano japo umeiongoza Tanzania kwa miaka mitatu tu! Naamini si wote watakaoukubali utendaji wako hasa waliokatiwa…

Mwendokasi wa magari sasa ujangili mpya Hifadhi ya Taifa Mikumi

Umewahi kuendesha gari katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na ukamgonga mnyama yeyote ndani ya hifadhi? Unakumbuka kama ulilipa faini za kumgonga mnyama? Basi kwa taarifa yako magari ndiyo yamekuwa majangili wapya katika hifadhi hiyo. Wakati Shirika la Hifadhi za…

TPA: Tunamjibu mteja ndani ya dakika 3

Bandari ni lango kuu la biashara kwa Tanzania na nchi zote zinazotumia bandari zetu hususan Bandari ya Dar es Salaam ambazo; ni Uganda, Rwanda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, Sudan Kusini na Comoro. Tunapoanza mwaka 2019,…

Ndugu Rais ili tupite salama lazima tubadilike kifikra

Ndugu Rais, hivi karibuni wengi wamekuwa na shamrashamra, vifijo na nderemo huku wakiuaga mwaka 2018 na huku wakiushangilia mwaka 2019. Wanasema ni upendeleo wamepewa kuufikia mwaka 2019 kwa sababu wengi walitamani kuufikia, lakini hawakuweza. Tunajiuliza ni wakati gani waliwauliza hao…