Category: Makala
Wafugaji wa sungura wa kisasa ‘walizwa’ Moshi Vijijini
Na Charles Ndagulla, Moshi Tegemeo la kutajirika kwa wakazi zaidi ya 20 katika halmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini kupitia mradi wa ufugaji wa sungura wa kisasa, limetoweka baada ya kuachwa na wawezeshwaji wao, kampuni ya Rabbit Bilss Tanzania. Viongozi…
Uchovu mara kwa mara – 2
Karibu tena msomaji wangu wa Safu hii ya Afya. Leo tutaendelea na mwendelezo wa mada yetu ya wiki iliyopita kama nilivokuahidi. Kwa kukukumbusha tu msomaji, wiki iliyopita nilieleza kuhusu sababu zilizo nyuma ya uchovu uliokithiri. Uchovu ambao mara nyingi huwa…
Mapitio ya sheria za kazi nchini Tanzania
Na Wakili Stephen Malosha Asiyefanya kazi na asile. Hayo ni maneno maarufu sana katika utawala huu wa awamu ya tano. Maneno haya yamekuwa yakitamkwa mara kwa mara na Rais John Magufuli katika kuhimiza Watanzania wafanye kazi. Hii inaonesha kwa namna…
TPA inathamini mizigo ya wateja
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya mambo mengi katika utoaji huduma bora kwa wateja wake. Ili kuhakikisha TPA inawahudumia wateja wake vizuri iliamua kuwa na Mkataba wa Huduma kwa Mteja, kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja na kufungua…
Ya Jacob Zuma ni ya kwetu pia
Kwenye hotuba aliyotoa ndani ya Bunge la Afrika Kusini baada ya kuanguka kwa utawala wa kibaguzi wa nchi hiyo, Mwalimu Julius Nyerere alilalamika jinsi ulimwengu unavyoiona Afrika, siyo kama bara linalojumuisha nchi zaidi ya 50, ila kama nchi moja. Ulimwengu,…
Tanzania iongeze kasi ya ukuaji wa uchumi wake – 1
Na Frank Christopher Kwa zaidi ya muongo mmoja, uchumi wa Tanzania umeweza kukua wastani wa asilimia 7 na kufanikiwa kutajwa kati ya nchi 10 zinazoshuhudia ukuaji wa kasi zaidi wa uchumi barani Afrika huku nyingine zikiwa Ethiopia, Ivory Coast, Senegal,…