JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ukweli kuhusu NHIF huu hapa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wakati Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) ukiwatoa hofu wananchi kwa kusema kuwa upo imara na himilivu, magonjwa yasiyoambukizwa yanayosababishwa na ‘tabia-bwete’ yanatajwa kuwa chanzo cha ongezeko la gharama za matibabu nchini. Akizungumza na wahariri…

CHADEMA yaitaka Serikali kutoa sababu za NHIF ‘kufilisika’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka Serikali kutoa sababu zilizosababisha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF) kuwa na hali mbaya ya kifedha. Hayo yamesemwa leo Septemba 20,2022 na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salim Mwalimu…

Vijiji 20 Longido vyatenga hekta 186.794 kwa malisho

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Vijiji 20 kati ya 49 Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha, vimetenga eneo la hekta 186.794.2 kwa ajili ya nyanda za malisho ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Katika wilaya hii, asilimia 95 ya wakazi…

Ndalichako:Rais Samia amedhamiria kutatua changamoto za wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutatua changamoto za wafanyakazi ili kuboresha…