Category: Makala
Japan yaonesha nia ya kukisaidia chuo kikuu Dodoma
KAMPUNI ya Japan ya Association of African Economic Development (AFRECO) imeonesha nia ya kujenga chuo cha uhandisi wa tiba (school of medical engineering) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ili kupunguza tatizo la wataalamu wa tiba na vifaatiba…
Kawishe bilionea mpya wa Tanzanite
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaa,Mirerani MCHIMBAJI wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Anselim Kawishe ametangazwa kuwa bilionea mpya wa madini ya Tanzanite. Kawishe amekuwa bilionea mpya baada ya kupata vipande viwili vya madini hayo vya…
Moi yasogeza huduma za kibingwa Mtwara
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia Huduma za kibingwa za Taasisi ya tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) zitaanza kutolewa katika hospitali mpya na ya kisasa ya rufaa ya kanda Mtwara ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali la kusogeza huduma za kibingwa karibu…
Watoto 53 wazaliwa siku ya Sensa Zanzibar
Watoto 53 wazaliwa siku ya Sensa Zanzibar Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Zanzibar MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM),mkoa Mjini (Kichama), Talib Ali Talib, ameitaka jamii kujenga tabia ya kutembelea wagonjwa wakati wa matukio maalum ya kitaifa ili kuimarisha imani na mappenzi miongoni…
Mfuko wa dunia watoa bil.17/- kuboresha huduma za wajawazito
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tanga SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya imepata ufadhili wa Shilingi Bilioni 17 kutoka Mfuko wa Dunia wa Ufadhiliwa Huduma za Afya kwa ajili ya kuboresha huduma za wajawazito na watoto wachanga nchini ili kupunguza vifo vya…
Waziri Masanja afunga mafunzo ya kukabiliana na usafirishaji haramu wanyamapori
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amefunga mafunzo ya siku tano ya kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa mazao ya wanyamapori na mimea ndani na nje ya Bara la Afrika uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Akizungumza…





