JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Kikulacho ki nguoni mwako kiongozi wangu, tambua hilo

Kuna wakati nilipata kuwa monita wa darasa langu miaka hiyo ya zamani, uongozi ule nilidumu nao kwa muda wa wiki moja hivi kabla sijatumbuliwa na mwalimu mkuu mbele ya wanafunzi wenzangu asubuhi ya paredi, niliahidiwa kupewa kazi nyingine na baada…

Kuonesha kisirani mazikoni, ni mwake?

Kwanza naungana na familia, ndugu na Watanzania wote katika kuomboleza msiba uliotufika wa kufiwa na mzazi wetu, ndugu yetu, rafiki yetu na kiongozi wetu mpendwa, Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, wiki iliyopita. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raajiuun. Mauti ni faradhi na…

Rais Magufuli usitumie nguvu kumkabili Lowassa

Rais John Pombe Magufuli alipohutubia mkutano wa hadhara alioufanya Manyoni, amenukuliwa akisema; “Hao wanaotaka kuandamana wataona. Nawaomba watangulie wao wawe mstari wa mbele, wasitangulize watoto wa maskini na wao kujificha hotelini mimi sijaribiwi.” Hii ni kauli ya hatari inayoashiria Amiri…

Trump akalia kuti kavu Marekani

Wakati kampeni za kuwania kiti cha Urais ndani ya Taifa kubwa na tajiri la Marekani zikiendelea kupamba moto tayari mgombea asiyeishiwa vituko wa chama cha Republican  Donald Trump amemtaja mshindani wake wa chama cha Democrat Hillary Clinton kuwa ‘shetani’.  Akizungumza…

Ndugu Rais tusikilize uelewe wananchi wanataka nini

Ndugu Rais, tunaandika hapa kukusaidia wewe ili uwahudumie wananchi wako kwa namna ipasayo. Unaweza ukawa unafanya mambo mengi makubwa, lakini wananchi wakawa hawana furaha na wewe kwa sababu ya jambo moja tu au mawili unayowakera sana. Hivyo utakuwa umefanya vyema…

“TUEPUKE SUMU HIZI” (3)

“Mohamed Said, katika ukurasa wa 273 wa kitabu chake kuhusu Uislam anaandika kuwa Aprili, mwaka 1964, ujumbe mkubwa ukiongozwa na Sheikh Hassan Bin Amir, ukijumuisha akina Sheikh Said Omar Abdallah, Tewa Saidi Tewa, Katibu wa EAMWS – Abdul Aziz Khaki…