JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Si chochote, ni chochote

Wake wenza wawili waliishi katika makazi tofauti na mume wao katika mji mmoja. Kila mmoja alijitahidi kumtunza mume na kumuweka katika maisha ya furaha, upendo na utulivu pasi na mwenzake kujua mapenzi anayepewa mume. Mke mkubwa na mke mdogo kila…

Jipu ni jipu tu hata liwe wapi

Waswahili wanasema kwamba ukimwona mwenzio ananyolewa, usilete maneno isipokuwa anza kutia maji kwenye nywele zako na kukaa mkao wa kunyolewa. Hayo ndiyo yaliyojiri Ijumaa ya Machi 4, mwaka huu kwa Balozi Ombeni Yohana Sefue, aliyekuwa akishangilia wakati wenzake wakinyolewa, naye…

Mawaziri wanapotafuta suluhisho North Mara

Bila shaka ni jambo la kusubiri na kuona baada ya mawaziri wawili wa Awamu ya Tano kutembelea kwa ziara ya kushtukiza maeneo athirika kutokana na maji yanayodaiwa kuwa na athari kutoka katika mgodi huo. Kabla ya kuitwa ABG, mgodi huo…

CCM  ni  Jipu lililoshindikana?

Kama tujuavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama kikongwe, ingawa ukongwe wake hauzidi ule wa Chama cha African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini kilichoanzishwa mnamo mwaka 1912. ANC  ni chama cha siasa kikongwe zaidi barani Afrika. Tanzania ni nchi ya vyama…

Waraka kuhusu Bandari kwa Rais John Magufuli

Tanzania inazungukwa na nchi saba ambazo hazina bandari. Nazo ni Malawi, Zambia, DR-Congo, Burundi, Rwanda, Uganda na Zimbabwe. Jiografia ya Tanzania inatoa fursa kubwa sana kibiashara na ajira katika tasnia ya uchukuzi na usafirishaji wa shehena. Kwa kutumia barabara na…

Tunazuia sukari kutoka nje kwa maslahi ya nani?

Februari 18, mwaka huu Rais John Magufuli alitangaza kupigwa marufuku kwa uagizaji wa sukari kutoka nje. Akasema kama kuna haja ya kutoa kibali, basi ni yeye ndiye atakayetoa. Alisema sababu ya hatua hiyo ni kuwa kuna maofisa wa Serikali ambao…