Category: Makala
Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili
NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k. Tunapozungumzia NGO…
Serikali isijaribu kuua Tiba Mbadala
Kwa miezi miwili sasa kumekuwa na msuguano kati ya waganga wa tiba asili na tiba mbadala na mamlaka za Wizara ya Afya, Maendedeo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Wizara ya Afya imetoa matamko mawili ambayo yote yalipingwa na Matabibu…
Siku 100 Wizara mbili zilikuwa wapi?
Majuzi Rais Dk. John Pombe Magufuli alitimiza siku 100 tangu alipoingia madarakani Novemba 5, mwaka jana. Watu wengi wamejitahidi kuchambua utendaji wa Rais Magufuli katika siku hizo 100. Ingawa hawakukosekana watu waliomkosoa, wengi wamesifu utendaji wake katika kipindi hiki. Karibu…
Rais Magufuli na maslahi mapana ya Taifa (1)
Kwa rehema na mapenzi yake Mwenyezi Mungu, Tanzania ilikamilisha Uchaguzi Mkuu tarehe 25 Oktoba 2015 kwa kumpata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani. Kwa upande mwingine, uchaguzi huo haukwenda vizuri kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi…
Tumejitoa sadaka kwa Watanzania-Magufuli
Hotuba ya Rais John Magufuli kwa Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam aliyotoa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam mnamo Februari 13, 2016. Sitajisikia vizuri kama sitasema, shikamoni, Waheshimiwa viongozi wote mliohudhuria hapa na itifaki imezingatiwa…
Kwanini mazungumzo ya amani Syria yameshidikana
H atimaye mazungumzo ya amani kuhusu Syria yaliyokuwa yakifanyika jijini Geneva yamesitishwa bila mafanikio. Msuluhishi kutoka Umoja wa Mataifa (UN), Staffan de Mistura kuanzia Januari 31, mwaka huu alikutana na pande zinazopigana – upande wa serikali ya Rais Bashar Assad…