Category: Makala
Nilichekwa kwa kumnyenyekea Mwalimu Julius Nyerere
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuishi karibu na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Nashukuru kwa sababu Watanzania wengi, na walimwengu kwa jumla waliitamani fursa hiyo, lakini hawakuipata moja kwa moja isipokuwa kupitia sauti na pengine maandishi yake. Mwalimu…
Yah: Kukubali matokeo
Kuna msomaji wangu mmoja wa safu hii wiki jana alinipigia simu na kunisimulia hadithi moja nzuri, alianza kwa kujinasibu kuwa umri wake hauna tofauti sana na wangu japokuwa hakusema ana miaka mingapi. Anasema zamani kabla ya kuanza kushuhudia soka la…
Matamko yanatoka moyoni?
Watanzania mwaka huu wa 2015, ukweli wameuanza kwa shauku kubwa ya kutaka kupata viongozi wapya watakaowaongoza katika miaka mitano ijayo, na kuweka mustakabali wa maisha ya watu na maendeleo ya nchi. Shauku hiyo inatarajiwa kuwafikisha kwenye mshindo mkuu utakaowapatia viongozi…
Mugabe anasema tumuenzi Mwalimu Nyerere; sisi vipi?
Kesho ni Siku ya Nyerere, siku inayoadhimisha miaka 16 tangu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere afariki mwaka 1999. Ni mwaka pia wa Uchaguzi Mkuu; mwaka unaotoa fursa kwa Watanzania kuchagua viongozi watakaotuongoza kwa miaka mitano ijayo kwenye ngazi za udiwani, uwakilishi,…
Hoja nzito za Lowassa kuelekea Ikulu 2015
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Lowassa, amesema: “Watanzania tuna fursa ya pekee kuuondoa utawala wa CCM madarakani na kuleta mabadiliko ya kweli nchini.” Lowassa amesema hayo, katika salamu zake kwa Watanzania katika kitabu cha ilani ya…
Safari ya Dk. Magufuli Ikulu (2)
Mgombea Mwenza wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amegundua Watanzania wanahitaji mambo mengi tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Katika mahojiano maalum yaliyofanyika wiki iliyopita Dar es Salaam, Samia anaeleza kuhusiana na kile alichokiona ikiwa ni pamoja…