Category: Makala
Yah: Ama awe wa kafara au sherehe, mbuzi ni mbuzi tu
Nianze kwa kulitakia afya njema Taifa letu kwa mara ya pili, afya ya amani na upendo, uzalendo uliotukuka na jinsi tunavyoweza kuwadhibiti wachache wenye tabia za ubinafsi na kuleta mtafaruku ya hapa na pale, namshukuru Mungu kwa kuwa ni muumini…
CCM sasa tupeni mabadiliko ya kweli
Nina kila sababu na nia ya kutoa pongezi na kongole kwa Watanzania kumudu kuendesha kampeni ya uchaguzi na kuwachagua madiwani, wabunge na rais kwa njia ya utulivu na amani. Oktoba 25, 2015 imepita, ikiwaacha Watanzania hao katika sura mbili tofauti…
Matokeo ya urais somo kwa CCM
Uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umehitimishwa kwa mujibu wa taratibu zilizopo, na Dk. John Pombe Joseph Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye rais wetu mpaka uchaguzi mwingine utakapofanyika. Kwa mara ya kwanza ya historia yake…
Pongezi zangu kwa Dk. Magufuli
“Hayawi, hayawi, yamekuwa”. Kweli hayo ndiyo mapenzi yake Mwenyezi Mungu. Ulimtanguliza mbele wakati wa kampeni zako na sasa yametimia. Kusema kweli kumtanguliza na kumweka mbele Mwenyezi Mungu kuna faida nyingi. Nimezoea kuwaambia watoto wangu kuwa “kama baba awahurumiavyo watoto wamchao”,…
Tumepataje amani, tunaidumishaje?
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na amani tele ndani ya Taifa letu na katika jamii na familia zetu. Kusema kweli Mwenyezi Mungu ni mwema sana kwetu ndiyo maana tunatakiwa tumshukuru kila wakati na kulisifu jina lake takatifu…
Hatari hii kuwakuta Watanzania 70,000
Watanzania takribani 70,000 kati ya 800,000 wanaotumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs) huenda wakapoteza maisha ifikapo mwaka 2017. Hatua hiyo inatokana na Serikali kutenga kiasi cha asilimia 9.1 pekee katika bajeti ya sekta ya afya ya…