JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Watanzania na utii wa sheria

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alfred Tibaigana, aliwahi kusema: “Asilimia 98 ya Watanzania hawaheshimu sheria.” Alinukuliwa na mojawapo ya vyombo vya habari. Ukitafakari matamshi haya kwa haraka haraka unaweza kusema kuwa ni taarifa ambayo haishabihiani…

Soko linahitaji misuli kupambana

Nimekuwa nikipata mgogoro wa ndani kila ninapohudhuria promosheni za bidhaa mbalimbali, ninaposoma ama kutazama matangazo ya kibiashara katika vyombo mbalimbali vya habari na vile vinavyotumika kimatangazo. Kwenye nyingi ya bidhaa, promosheni ama matangazo hayo huwa ninakutana na taswira pamoja na…

Helikopta zinavyowaliza Watanzania

Maelfu ya Watanzania, ndani na nje ya nchi wameendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe (43), aliyefariki dunia pamoja na watu wengine wanne katika ajali ya helikopta iliyotokea wiki iliyopita. Pamoja na Filikunjombe, wengine waliofariki dunia ni…

Dhana ya mabadiliko (2)

Serikali tunayoihitaji ijayo ilete matulizo kwa hayo yaliyotokea hapa nchini. Watu wajaliwe, waheshimike na wapate kupiga hatua mbele ya hapa walipo. Kwa kutokuwa na uti wa mgongo wa utawala – UTUMISHI WA UMMA mzuri kama hapo zamani hitaji la utawala…

Majibu kwa wanaomsimanga Magufuli

Kwanza nakushuruku Mhariri kwa kuipa nafasi makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho: “Ndani ya Dk. Magufuli, namuona Mwalimu Nyerere”, iliyochapishwa katika toleo namba 211 la Gazeti la JAMHURI. Nimepata wasomaji wengi sana walionipigia simu na wengine walioniletea ujumbe…

Yah: Kwako Rais mpya

Nianze kwa kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa wa Mchungaji Christopher Mtikila. Mchungaji Mtikila alikuwa mtu wa jirani sana kwangu na nimezungumza naye mara nyingi sana, maono yake ni dhahiri alikuwa anajua siku moja yatatimia akiwa hajaifungia macho dunia.  Lakini…