Category: Makala
Kila la kheri Watanzania
Jumapili hii, Watanzania tupatao milioni 23.7 tunatarajiwa kumiminika vituoni kwa lengo moja tu la kupiga kura kuchagua viongozi bora, watakao tuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Baada ya viongozi waliopo sasa kumaliza muda wao wa uongozi wa miaka mitano…
Chadema imewanyimaje Watanzania uchaguzi?
Katika gazeti moja la kila wiki, toleo la wiki iliyopita, mwandishi mmoja mahiri, Lula wa Ndali Mwananzela, ambaye huwa namchukulia kama mtu mwenye maono ya mbali, kaamua kujichanganya na kuniondolea kile nilichokuwa nacho kwa muda mrefu kuhusu mtazamo wake. Kafanya…
Hatuwezi kushinda vita dhidi ya ujangili kwa operesheni
Vita dhidi ya ujangili ni kama mapambano mengine ya binadamu katika kujihakikishia usalama. Tofauti tu ni kwamba katika vita dhidi ya ujangili wanaolindwa ni wanyama na makazi yao, badala ya binadamu na mali zake. Vivyo hivyo, kama ambavyo mtu hawezi…
Mabadiliko ya Mwalimu Nyerere yanapotoshwa
Kesho ni Oktoba 14, Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini, watakutana iwe katika ibada maalum, kumbukizi au katika mazungumzo ya kumkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyefariki dunia tarehe kama hiyo mwaka 1999. Tarehe hiyo, Watanzania walipata mfadhaiko mkubwa…
Tabia ya utu ya Mwalimu Nyerere
Tunaingia mwaka wa 16 bila ya kuwa na Mwalimu Nyerere. Oktoba, 14; Jumatano, 2015 siyo muda mfupi, lakini nchi hii bado inamkumbuka sana Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu, roho ya mzee wetu ipumzike kwa…
Mzee Abdallah: Sherehe za kwanza CCM zilikuwa chungu kwa Nyerere
Wakati Taifa likifikisha miaka 16 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, watu mbalimbali wanaendelea kumkumbuka Rais huyo wa kwanza na muasisi wa Taifa letu, kulingana na kila mmoja alivyomjua. Lakini mengi ya yanayotajwa kwa Nyerere ni…