Category: Makala
Yah: Sasa ni kazi tu, majungu tupa kule
Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa namna ambavyo tumejipangia maisha ya uongozi na kuwa mfano mzuri wa kuigwa barani Afrika, tunatoa fundisho kwa wengine kwa kupitia mifano halisi, rais anaondoka madarakani akiwa na furaha tele moyoni na kumkabidhi mwenzake kijiti cha…
Utamaduni wa kupokezana madaraka udumishwe
Naam! Alhamisi ya Novemba 5, 2015, Watanzania tuliwashangaza, tuliwaelimisha na tuliwathibitishia Walimwengu kuwa madaraka ya kisiasa yanawezekana kuachwa kwa kupokezana kwa hiyari, upendo na amani bila ya kutumia ubabe, ung’ang’anizi wala mtutu kumwaga damu ya Wananchi. Uthibitisho huo ulionekana mbele…
Rais Magufuli, tunaomba iwe kazi kweli kweli
Kauli ya kampeni ya urais ya Rais John Magufuli ilikuwa: “Hapa ni kazi tu!” Ni kauli nzuri kama haiishii kwenye kampeni pekee. Kwenye moja ya hotuba zake za kampeni alitamka: “Deni langu kwenu ni kufanya kazi.” Watanzania wote wanasubiri kutimizwa…
Bora afya kuliko mali
Afya au siha (hygiene au health) ni hali ya mwili (physically) na akili (mentally) ilivyo kwa kadiri ya kila mtu binafsi anavyojisikia au kuonekana kwa wakati tofauti. Afya inahesabika kuwa ni njema au nzuri mtu anapokuwa timamu, thabiti, na bila…
Yaliyompata Nixon kumrudia Magufuli?
Wakati hekaheka za Uchaguzi Mkuu wa 2015 zimeisha hapa nchini, kwa washindi kupatikana ikiwa ni pamoja na mshindi wa kiti cha urais na chama tawala, nimegundua kwamba kumbe bado tunayo mengi ya kujifunza katika nyanja ya siasa. Nimeliona hilo baada…
Sababu za Ukawa kushindwa uchaguzi
Uchaguzi Mkuu wa tano katika Tanzania ya Vyama vingi umemalizika. Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindwa uchaguzi huu ambao kila mtu (hata mwanachama wa Chama cha Mapinduzi au CCM) aliamini kuwa Ukawa ungeshinda. Kulikuwa na sababu nyingi zilizowaaminisha wananchi…