JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nionavyo Tanzania baada ya uchaguzi

Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani zenye utaratibu wa kufanya uchaguzi kila baada ya kipindi cha miaka mitano ya buongozi. Kuna na demokrasia iliyozoeleka. Ni ya kupokezana vijiti. Kutokana na utaratibu huo uliowekwa na waasisi wa taifa hili, wananchi ambao…

Yah: Bebabeba ya mashabiki na hatima ya kukubali matokeo

Kwanza nianze kwa kuwapongeza viongozi wote ambao mmekuwa mkishiriki katika dakika hizi za lala salama za uchaguzi mkuu ujao ambao utatuletea serikali mpya siku chache zijazo, nasema siku chache zijazo kwa maana ya Oktoba. Katika mvutano huu kuna kila aina…

Kauli yako leo, umbo la kesho

Watanzania hivi sasa wamo katika hekaheka ya kuwasikiliza wagombea urais, ubunge na udiwani wakinadi Ilani na sera za vyama vyao vya siasa na kuweka ahadi ya mambo watakayofanya pindi wapatapo ridhaa ya kuongoza nchi, kutoka kwa Watanzania. Hekaheka hizo zinaendeshwa…

Amani ndiyo kipaumbele namba moja

Katika mazingira ya siasa tunayoshuhudia sasa, upo uwezekano kuwa hatuelekei kuzuri. Hata bila kutafuta wapiga ramli kutabiri yakakayojiri baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba tafakari ndogo inaashiria uwezekano wa kuvunjika kwa amani. Matamshi ya wahasimu wakubwa wa kisiasa, ikiwa…

Kama mwajiri amekuonea, chukua hatua haraka sana

Wapo wafanyakazi wengi wanaosumbuliwa na migogoro ya kikazi maofisini kwao, lakini hawajui cha kufanya. Wengine hufanyiwa mambo ya ajabu makazini yumkini wakashindwa kuchukua hatua yoyote kutokana na kutojua pa kuanzia. Na hizo ni ajira rasmi tusiongelee hizo zisizo rasmi. Tusiongelee…

NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria

Septemba 2, mwaka huu maiti ya  Aylan Kurdi,  mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….