Category: Makala
Yah: Bebabeba ya mashabiki na hatima ya kukubali matokeo
Kwanza nianze kwa kuwapongeza viongozi wote ambao mmekuwa mkishiriki katika dakika hizi za lala salama za uchaguzi mkuu ujao ambao utatuletea serikali mpya siku chache zijazo, nasema siku chache zijazo kwa maana ya Oktoba. Katika mvutano huu kuna kila aina…
Kauli yako leo, umbo la kesho
Watanzania hivi sasa wamo katika hekaheka ya kuwasikiliza wagombea urais, ubunge na udiwani wakinadi Ilani na sera za vyama vyao vya siasa na kuweka ahadi ya mambo watakayofanya pindi wapatapo ridhaa ya kuongoza nchi, kutoka kwa Watanzania. Hekaheka hizo zinaendeshwa…
Amani ndiyo kipaumbele namba moja
Katika mazingira ya siasa tunayoshuhudia sasa, upo uwezekano kuwa hatuelekei kuzuri. Hata bila kutafuta wapiga ramli kutabiri yakakayojiri baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba tafakari ndogo inaashiria uwezekano wa kuvunjika kwa amani. Matamshi ya wahasimu wakubwa wa kisiasa, ikiwa…
Kama mwajiri amekuonea, chukua hatua haraka sana
Wapo wafanyakazi wengi wanaosumbuliwa na migogoro ya kikazi maofisini kwao, lakini hawajui cha kufanya. Wengine hufanyiwa mambo ya ajabu makazini yumkini wakashindwa kuchukua hatua yoyote kutokana na kutojua pa kuanzia. Na hizo ni ajira rasmi tusiongelee hizo zisizo rasmi. Tusiongelee…
NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria
Septemba 2, mwaka huu maiti ya Aylan Kurdi, mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….
Mambo yanayoiumiza CCM mwaka huu
Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 nchini Tanzania, lakini kuna dalili za wazi kuwa huenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikatoka madarakani baada ya kuendesha Serikali kwa zaidi ya miongo mitano, yaani nusu karne. Ilidhaniwa kuwa uzoefu…