JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Tatizo Afrika Kusini ni zaidi ya ‘Zuma’

ZANZIBAR Na Masoud Msellem Juni 29, 2021, Mahakama ya Katiba ya Afrika Kusini ilimhukumu aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma (79) kwenda jela kwa miezi 15 kwa kupuuza amri ya mahakama. Amri hiyo ilimtaka atoe utetezi wa tuhuma…

Uzalendo ni mapenzi ndani ya moyo

Uananchi na utaifa wa mtu ni hali mbili ambazo zinamjenga kutokana na mapenzi mazito, ridhaa na ari moyoni ya kufanya jambo jema na kumsukuma kuwa tayari afe kwa ajili ya kuitetea nchi yake. Mtu wa aina hii ndiye hasa aletaye…

Hadhari bidhaa za Kariakoo

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Moto uliozuka na kuteketeza sehemu kubwa ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam huenda ukasababisha athari kadhaa za kiafya kwa Watanzania. Moto huo uliozuka usiku wa Julai 9, mwaka huu, mbali na kuathiri…

Tunaufungaje mjadala wa Mtaka vs Prof. Ndalichako?

Na Joe Beda Rupia Elimu elimu elimu. Ndiyo. Elimu. Inatajwa kuwa ufunguo wa maisha. Lakini kikubwa zaidi elimu ndiyo silaha dhidi ya ujinga. Ujinga. Moja miongoni mwa mambo matatu yanayotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kama maadui wakuu…

Kulikoni bei ya pombe ishuke?

DAR ES SALAAM Na Dk. Felician Kilahama Awali ya yote, ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa amani tuliyonayo nchini. Hakika Mungu ni mwema.  Neno la Mungu linatutahadharisha tuwe makini (Luka 21: 34(a): “Basi jihadharini mioyoni mwenu isije ikalegea na ulafi, na ulevi…

WADUNGUAJI HATARI KUMI DUNIANI

Rob Furlong (7) Anayeshikilia namba saba katika orodha ya wadunguaji kumi hatari duniani ni Rob Furlong. Huyu alikuwa ni koplo katika jeshi la Canada. Anashikilia kuwa mdunguaji aliyeweza kumlenga mtu na kumpiga katika umbali mrefu kuliko wadunguaji wengi. Rekodi zake…