RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa  Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mwera Kidogo basi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024, kwa ajili ya kutowa mkono wa pole.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Marehemu na Wananchi katika Sala ya Maiti ya marehemu Fatma Sharif Jum,a iliyoongozwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi,iliyofanyika katika Masjid Tauhid Mwera Kidogobasi,Mke wa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, iliyofanyika leo 27-4-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Familia ya Marehemu na Wananchi katika kuitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali, baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti ya marehemu Fatma Sharif Juma iliyofanyika katika Masjid Tauhid Mwera Kidogobasi,Mke wa Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla, iliyofanyika leo 27-4-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi la marehemu Fatma Sharif Juma, wakati wa maziko hayo yaliyofanyika katika Kijiji cha Mwera Kidogobasi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024.(Picha na Ikulu)

By Jamhuri