Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo akizungumza na Karani wa Sensa ya Watu na Makazi Faith Buruhani (kushoto) wakati wa kuhesabiwa kwenye makazi yake Msasani jijini Dar es Salaam leo tarehe 23, Agosti 2022. (Picha na Adam Mzee/ CCM Makao Makuu