Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukuru wauguzi kutoka Hospitali ya Mtakatifu Benedict Ndanda ambao walishiriki katika Programu ya Afya Check iliyotoa huduma ya kupima, kutibu na kutoa ushauri wa afya bure kwa wananchi kwa muda wa wiki moja, katika uwanja wa Likangala kwenye halmashauri ya wilaya ya Rungwa, Septemba 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)