Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani  kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri w Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega na kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, David Silinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani  kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri w Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi  wa Kampuni ya Alphakrust Limited, Bw.  Ganeshan  Vedagiri (kulia) kuhusu  minofu ya samaki iliyogandishwa kwa ajili ya kuuzwa ndani na nje ya nchi  wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. kushoto ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri