*Kinondoni, Magomeni, Mbezi, Tanga watia fora

*Wamo Wakenya, Wanigeria, waimba taarab Dar

*Wengine wapata dhamana kimizengwe, watoroka

Vita dhidi ya wauzaji na wasafirishaji dawa za kulevya inazidi kupamba moto, na sasa JAMHURI imepata orodha ya watu wengine 245 wanaotajwa kuwa ndiyo ‘mapapa’ wa biashara hiyo haramu hapa nchini.

Idadi hii ni tofauti na ile iliyochapishwa na gazeti hili katika toleo lililopita. Tofauti na orodha hiyo ya awali, kwenye hii mpya JAMHURI imefanikiwa kupata makazi ya baadhi ya ‘mapapa’ hao ambao miongoni mwao ni waimba taarab maarufu.

 

Katika orodha tuliyochapisha hapa chini, baadhi ya mapapa hao ni raia wa kigeni. Majina ya nchi wanazotoka tumeyaonesha kwenye mabano, kama ilivyo kwa Watanzania ambao sehemu wanakotoka pia tumezionesha katika mabano. Majina kadhaa ya ‘mapapa’ hao hayana majina ya sehemu wanazotoka. Juhudi za kubaini maeneo hayo zinaendelea.

 

Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI kwa wiki kadhaa sasa umefanikiwa kupata orodha ya watuhumiwa hao wakuu ambao asilimia 99 wako rumande wakishikiliwa na vyombo vya dola, huku wengine wakiwa wamefikishwa mahakamani.

 

Asilimia zaidi ya 90 ya ‘mapapa’ hao wapo jijini Dar es Salaam, huku maeneo ya Kinondoni, Magomeni na Mbezi yakiongoza kwa kutoa idadi kubwa. Kilo moja ya cocaine inauzwa Sh milioni 50.

 

Kwenye orodha hii mpya, wamo Watanzania na raia wa mataifa mbalimbali walionaswa kwa nyakati tofauti, wengine wakiwa wamejichimbia kwenye mahekalu katika maeneo ya Mbezi, Oysterbay na Masaki.

 

Miongoni mwa ‘mapapa’ hao ni Fredy William Chonde (mkazi wa Magomeni), Kambi Zuberi (Temeke), Abdul Ghan na Shahbaz Maliki (Pakistani) waliokamatwa wakiwa na kilo 175 za heroin. Mapapa wawili – Shahbaz na Maliki ambao ni raia wa Pakistani, wametoroka nchini baada ya kupewa dhamana katika mazingira tata.

 

Papa mwingine, Ally Mirzai Pirbakhish ambaye ni Mpakistani, amekamatwa akiwa na waimba taarabu maarufu ambao wote ni wakazi wa Kinondoni. Waimbaji hao ni Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, na Hamidu Kitwana Karimu.

 

Pia kuna watuhumiwa Ismail Shebe Ismail, Rashid Salim na Majed Gholamghader (wote wakazi wa Kinondoni, Dar es Salaam) waliokamatwa wakiwa na kilo 50 za heroin.

 

Raia wa Afrika Kusini, Jack Vuyo na Anastazia Elizabeth Cloete, wako mbaroni kwa kukutwa na kilo 42 za heroin. Mnigeria aliyetambuliwa kwa jina la Kwako Sarfo amekamatwa akiwa na kilo 11.951 za cocaine.

 

Mapapa wengine ni wakazi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, Aziz Juma Kizingiti, Said Mashaka Mrisho, Abdulahman Mtumwa, Hamidu Kitwana Karimu na Mpakistani Ally Mirzai Pirbakhish waliokamatwa wakiwa na kilo 97 za cocaine.

 

Kwenye orodha hiyo wamo Mwanaidi Ramadhan Mfundo ambaye ameolewa na raia wa Kenya, lakini nyumbani kwa wazazi wake ni Mbezi Beach, Dar es Salaam. Wengine ni Sara David Munuo (Kenya), Anthony Karanja (Kenya), Benny Ngare (Kenya), Almas Hamis Said (Kinondoni), Yahaya Haroun Ibrahim (Kinondoni), Aisha Said Kungwi (Mwenge, Dar es Salaam), Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis) na  John William Mwakalasya ambaye ni mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.

 

Aidha, yumo Mtanzania mwenye asili ya Kiasia anayeitwa Rashid Ally Mtopea (mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam) ambaye pamoja na wenzake wawili – Idd Adam Mwaduga (Tanga) na Nurdin Husein (Ilala) wamekamatwa wakiwa na kilo 12 za heroin.

 

Orodha kamili ya mapapa hao ni:

1: Steven Gwaza (Upanga, Dar es Salaam).

2: Rebecca Wairimu Mwangi (Kenya)

3: Khatibu Bakari Khatibu (Magomeni) 
4: Khalid Salimu Maunga (Uingereza)

5: Dhoulkefly Awadhi (Tabata Kimanga, Dar es Salaam)

6: Abdallah Pashua Kipevu (Kinondoni) 
7: Diaka Brama Kaba (Guinea) 
8: Ndjane Abdubakar (Liberia) 
9: Sylivia Kaaya Namirembe (Uganda) 
10: Farid Kisuule (Uganda) 
11: Robinson Dumba Teise (Uganda) 
12: Ismail Mugabi (Uganda) 
13: Rashid Salim Mohamed (Uganda) 
14: Mini Thabo Hamza (Afrika Kusini) 
15: Kwako Sarfo (Nigeria) 
16: Hamis Muhamed Mtou (Magomeni) 
17: Mustapha Musa (Kinondoni) 
18: Amani Saidfadhil Daruwesh (Kinondoni) 
19: Afshin Jalal (Kinondoni)

20: Jack Vuyo (Afrika Kusini) 
21: Anastazia Elizabeth Cloete (Afrika Kusini) 
22: Simon Eugenio Fadu  
23: Assad Azziz 
24: Ismail Shebe Ismail (Kinondoni)

25: Rashid Salim (Kinondoni) 
26: Majed Gholamghader (Kinondoni)  
27: Anna Jamaniste Mboya (Kinondoni) 
28: Fredy William Chonde (Magomeni) 
29: Kambi Zuberi (Temeke) 
30: Abdul Ghan (Pakstani) 
31: Shahbaz Malik (Pakstani) 
32: Livinus Ajana Chime (Nigeria) 
33: Chukuwudu Denis Okechukwu (Nigeria) 
34: Pailo Ekechkwu (Nigeria) 
35: Hycenth Stan (Afrika Kusini) 
36: Shoaib Mohamed (Pakistani) 
37: Pedro Alfredo Chongo (Kinondoni) 
38: Kadiria Said Kimaro (Kawe) 
39: Abdallah Rajab Mwalimu (Magomeni Kagera) 
40: Mwiteka Godfrey Mwandemele (Kinondoni) 
41: Abbas Kondo Gede (Kinondoni) 
42: Mwanaidi Ramadhan Mfundo (Kenya) 
43: Sara David Munuo (Kenya)  
44: Anthony Karanja (Kenya) 
45: Benny Ngare (Kenya) 
46: Almas Hamis Said (Kinondoni) 
47: Yahaya Haroun Ibrahm (Kinondoni) 
48: Aisha Said Kungwi (Mwenge) 
49: Rajabu Juma Mzome (Mbezi Luis) 
50: John William Mwakalasya (Temeke) 
51: Ally Mirzai Pirbakhish (Pakstani) 
52: Aziz Juma Kizingiti (Kinondoni) 
53: Said Mashaka Mrisho (Kinondoni) 
54: Abdulahman Mtumwa (Kinondoni) 
55: Hamidu Kitwana Karimu (Kinondoni) 
56: Ramadhan Athuman (Tanga) 
57: Rashid Mohamed (Tanga) 
58: Ally Mohamed Kichaa (Tanga) 
59: Issa Abdurahman (Tanga) 
60: Rashid Ally Mtopea (Magomeni) 
61: Idd Adam Mwaduga (Tanga) 
62: Nurdin Hussein (Ilala) 
63: John Adam Igwenma (Nigeria) 
64: Ismail Adam au Athuman Yamvi a.k.a Rasta (Afrika Kusini) 
65: Ahmed Said Mohamed (Temeke) 
66: Morine Amatus Liyumba (Kinondoni) 
67: Upendo Mohamed Cheusi  
68: Abdallah Omary Salum 
69: Salama Mashaka  
70: Ekene Paul Ndejiobi (Nigeria) 
71: Hamis Hemed Issa  
72: Lwaretta Chioma Ani (Nigeria) 
73: Cosmas Chukwumezie (Nigeria) 
74: Ifeanyi Malven Kalu Oko (Nigeria) 
75: Sunday Valentine Ugwu (Nigeria) 
76: Allan Duller (Ireland) 
77: Alberto Mendes (Ghana) 
78: Joseph Chukwumeka Nwabunwanne (Nigeria) 
79: Kwaku Safo Brobbery (Ghana) 
80: Princewill Ejike (Nigeria) 
81: Mary Mvula (Zambia) 
82: Waziri Shaban Mizongi (Dar es Salam) 
83: Santos Joseph Mpondela (Dar es Salaam)  
84: Kelven Kelven Mwanzen (Dar es Salaam) 
85: Emmanuel Adom (Ghana) 
86: Asha Omary Ramadhan  
87: Mariam Mohamed Said (Kinondoni) 
88: Abdullatif Fundikira  
89: Marceline Koivogui (Guinea) 
90: Edwin Cheleh Swen (Liberia) 
91: Benjamin Obioma Onourah (Nigeria) 
92: Sofia Seif Kingazi (Kinondoni) 
93: Josephine Mumbi Waithera (Kenya) 
94: Idd Juma Mfaume (Dar es Salaam) 
95: Amina Kasim Ramadhan(Kinondoni) 
96: Vivian Edigin (Nigeria) 
97: Hadja Tambwe (Kinondoni) 
98: Sasha Farhan Mnyeke (Kinondoni) 
99: Mychel Andriand Takahindangeng (Indonesia)

100: Kristina Biskasevskaja (Luthenia) 
101: Stephen Basil Ojiofor 28 (Nigeria) 
102: Judith Marko Kusekwa (Tabata)  
103: Khamis Said Bakari (Kinondoni) 
104: Tabia Omary au Neema Omary (Kinondoni) 
105: Hamisi Abdalah  
106: Haji Salum Mintanga  
107: Mohamed Ally  
108: Pendo Stanley Msaki  
109: Ramadhani shabani  
110: Nickson Jackson  
111: Mussa Lazaro  
112: Joseph Msami au Kombe  
113: Tile Godfrey  
114: Upendo Samweli  
115: Joseph Loiruku Manina  
116: Karim Benajira na Mwanaisha Ally  
117: Prosper Charles  
118: Fraiaza Benjamin au Babu  
119: Richard Godfrey au Loisor 
120: Iddi Rajabu  
121: Ally Mohamed na Juma Salum  
122: Sophia Rashid na Latifa Ally 
123: Khalifa Said  
124: Estomi Joel au Sangi  
125: Abdala Hamza au Haule  
126: Haji Bakari  
127: Jasmine Tesha  
128: Evance Sebastian  
129: Goodluck Anael Mtui

130: Estomih Peter Msuya 
131: Laitness Kiando  
132: Juma Said

133: John Alex  
134: Said Maruku

135: Mohamed Rajabu 
136: Simon Sebastian  
137: Joyce Francis  
138: Hussein Hassan  
139: Simon John 
140: George Matowo

141: Fred Maloli 
142: Rashid Abdallah au Buriburi 
143: Paulo Baton,

144: Kashinje Seleli,

145: Sheha Kapaya

146: Moshi Joseph  
147: Said Mshana

148: Elias Matelema  
149: Pascal John  
150: Ramadhan Mohamedi  
151: James Samwel  
152: Adamu Glehamu au Muhomba  
Mrisho Simba  
153: Juma Kassim au Malila  
154: Sadal Jamal  
155: Deogratius Ndasi  
156: Saada Ally Kilongo  
157: Obiesie Gabriel Chibueze (Nigeria) 
158: Kennedy Elias Shayo

159: Athumani Musa

160: Abdallah Hamza au Haule, Andrew

161: Mkandilo

162: Abass Abubakar Swai 
163: Haji Ibrahim  
164:  Mwenye gari T 526 BWK  
165: Venance Sebastian

166: Hussein Mohamed  
167: Bahati Joseph  
168: Sadiki Diwani Mhindi  
169: Shabani Selemani  
170: Yusuph Alawi  
171: Kurwa Mbwana  
172: Amina Ahmed  
173: Joachim Ikechu (Nigeria)  
174: Said Ally  
175: Ally Juma  
176: Miraji Salim

177: Hassan Amri

178: Liviston Bathoromeo,

179: CPL Edward

180: PC George  
181: Levila Mollel

182: Levava Londondawa,

183: Saiburu Khuresoi Lukumay,

184: Laskari Lenye Mollel,

185: Kunini Lenye Mollel

186: Saning’o Keuya Mollel  
187: Livingstone Matholomeo Urasa  
188: Mikidadi Hussein au Athuman  
189: Masesa au Habaiba Andrew Joseph  
190: Allen Habib  
191: Harrison Chigozia Ubah (Nigeria)  
192: Njani Hassan Kapaya  
193: Adamu Rashid Jalal  
194: Idd Hassan Chomu  
195: Karim Renajira  
196: Khadija Hussein Lukanga  
197: Fraizer Benjamin au Babu  
198: Bahati Joseph 
199: Abdul Mohamed 
200: Raheli Yona 
201: Simon John  
202: Juma Ramadhani 
203: Zephania Laizer 
204: Adoloph Thobias Mushi 
205: Mrisho Simba 
206: Danie Kumuo 
207: Ally Ramadhani 
208: Anna Samweli 
209: Felista Kalembo 
210: Hussein Hassan 
211: Mussa Bwana Mrisho 
212: Hakuna 
213: Iddi Jumanne 
214: Hussein Rashid 
215: Joyce Francis 
216: Musa Murigo 
217: Mohamed Said 
218: Oddoi Onesmo 
219: Benard Reginald 
220: Felista William  
221: Allykad Alfonce 
222: Selemani Rashid  
223: Adam Gleham Mhomba 
224: Pius Laurence 
225: Jasmin Tesha 
226: Juma Ramadhani 
227: Soloka Ally na Wenzake wawili 
228: Madege Pakasi 
229: Joseph Polikapi 
230: Emmanuel Absolom 
231: Ally Ramadhani 
232: Petro Simon 
233: Said Mohamed Mollel 
234: Raphael John 
235: Abdul Ayubu 
236: Samweli Loshilari 
237: William Matei  
238: James Wilison  
239: Godfrey Fanuel 
240: Rebeka Abdallah 
241: Rukia Ally 
242: John James  
243: Agustino Julius 
244: Joseph Lucas  
245: Praygod Maliki

By Jamhuri