Kaimu Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Bw. Sigsibert K.Valentine akitoa taarifa kwa waandishi wa habari  Dar es Salaam (22 Aprili 2024) kuhusu maandalizi ya wafanyabiashara kurejea sokoni Kariakoo.