Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachokutana  Jijini Dar Es Salaam leo Jumanne tarehe 28 Aprili, 2026.