Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiteta jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Darbes Salaam, kwa ziara ya kikazi
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) wa pili kulia, Mkurugenzi wa Shirika la Reli (TRC) Bw. Masanja Kadogosa, wa kwanza kulia, Kamishna Idara ya Usimamizi wa Deni la Taifa, Bw. Japhet Justine, kushoto, wakiwa katika picha na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, wa pili kushoto, alipowasili nchini kwa ziara ya kikazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), mwenye skafu ya Bendera ya Taifa, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi, pamoja na ujumbe kutoka AfDB na Tanzania, baada ya Rais huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina, alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Darbes Salaam, kwa ziara ya kikaz

By Jamhuri