Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati ,Nsolo Mlozi (katikati) akimkabidhi tisheti Waziri wa Kilimo,Husein Bashe (kushoto) kwa ajili ya kundi la vijana 800 kutoka Mikoa yote Nchini. NMB imeingia mkataba wa kuwakopesha kundi hilo kwa kuwapa mikopo ya kilimo na vijana hao watawezeshwa kwa mafunzo ya miezi minne na kukabidhiwa mashamba na serikali bure.Kulia Kabis ni Katibu Mkuu Wizara ya kilimo ,Gerald Mweli.Mpigapicha Wetu
Kaimu Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara Wogofya Mfalamagoha. (Kulia) akipeana mkono na Waziri wa Kilimo,Husein Bashe (kushoto) baada ya kukabidhi tisheti kwa kundi la vijana 800 kutoka Mikoa yote Nchini. Benki ya NMB imeingia mkataba wakukopesha kundi Hilo mikopo ya Kilimo. Vijana hao watawezeshwa na mafunzo ya miezi minne na kukabidhawa mashamba na Serikali bure.Wapili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya kilimo ,Gerald Mweli na Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati ,Nsolo Mlozi ( wapili kushoto).

By Jamhuri