Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya kukienzi Kiswahili baada ya kufunga Kongomano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar, Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani baada ya kufunga Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Machi 19, 2023. Kulia kwake ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita na kushoto ni Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Machi 19, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)