‘Tumeuza kila tulichonacho, hatuwezi kutoka Muhimbili’
Mkazi wa Wilaya ya Songea Vijijini, mkoani Ruvuma, Sijawa Jafar, mwenye umri wa miaka 35 ameiomba serikali na wadau mbalimbali kujitokeza kumsaidia kulipia gharama za matibabu ya mumewe katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili zinazofikia Sh milioni 3.7, baada ya familia hiyo kushindwa kupata fedha hizo. Akizungumza na Gazeti la JAMHURI, Sijawa ameiomba serikali na…