Mabomu Mbagala siri zavuja

*Wakubwa walitumia (msiba huo) kutengeneza utajiri binafsi*Ofisi ya Pinda yahaha kutafuta zaidi ya bilioni fidia mpya*Waliopunjwa kucheka, hundi hewa milioni 260 zadodaMiaka mitatu baada ya mabomu kulipuka katika Kambi ya Jeshi Mbagala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam,…
Soma zaidi...