Latest Posts
Migodi midogo Geita kuunganishwa umeme wa REA
Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) tayari ameanza kazi ya kuunganisha umeme kwenye migodi midogo midogo wilayani Geita, ili kuwapunguzia gharama za…
Mzize aipeleka Yanga SC makundi CAFC
KLABU ya Yanga SC imefanikiwa kutinga hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuichapa Al Merreik ya Sudan bao 1-0 mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la Chamazi. Kwa mara ya mwisho Yanga SC kufuzu hatua ya makundfi…
Serikali kufungua shamba la miwa Muhukuru, Ruvuma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Songea imedhamiria kufungua shamba kubwa la miwa na kiwanda cha…
Rais Samia azindua tovuti ya hifadhi nyaraka za Dkt Salim, awapa viongozi mtihani
Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi kuwa na utamaduni wa kutunza kumbukumbu za maisha yao kwa manufaa na mchango kwa vizazi vya sasa na vya…