Latest Posts
‘Tabora jitokezeni uboreshaji daftari’
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia…
Tujenge matajiri, kodi zitakuja zenyewe
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimeandika kuhusu mfumo wa utozaji kodi. Nimeeleza utitiri wa kodi na utaratibu unaotumika kuzitoza, ambapo wengi wa wanaotoza kodi hawajawahi kufanya hata biashara ya kuuza kuku, hivyo kufahamu ugumu wa kulipa huo…
Dk Mpango aipongeza Wizara ya Nishati kwa usimamizi mzuri wa miradi ya nishati
📌 Ampongeza Dkt. Biteko kwa kuiongoza vyema Wizara na TANESCO kwa utekelezaji wa miradi 📌 Akagua vituo vya kupoza umeme Nguruka na Kidahwe 📌 Aagiza ifikapo Septemba Kigoma iwe imeingia kwenye Gridi ya Taifa 📌 Kapinga asema Wizara haitakuwa kikwazo…
Sasatel, Hydrox kufilisiwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) imetangaza kufilisi kampuni za DOVETEL (T) Limited maarufu kama Sasatel na Hydrox Industrial Serivices Limited baada ya kujiridhisha kuwa kampuni hizo mbili kushindwa kujiendesha na kulipa…
Miaka 85 ya TAG kuambatana na tamasha la mlipuko wa furaha Dar es Salaam
Na Magrethy Katengu, Jamuhuri mediaDar es Salaam Kanisa la Assembles of God(TAG) kwa kushirikiana na SOS Adventure wanatarajia kubadilisha wale wote waliofungwa na kamba za shetani kwa kutoa mahubiri, kufanya maombi kwa Mungu ili wawekwe huru katika Kristo Yesu. Akizungumza…





