JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

SBL yazindua Tamashala Serengeti Oktoba 2023

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia Bia yake ya Serengeti Lite imezindua Tamasha la Serengeti Oktoba litakalofanyika Oktoba 21,mwaka huu Ufukwe wa Coco, Dar es Salaam. Meneja wa Bia ya Serengeti Lite,…

Kata ya Matimila yaipongeza Serikali uboreshaji miradi ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WANANCHI wa Kata ya Matimila wilayani Songea mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali kwa kuwaboreshea miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya ujenzi wa zahanati na kituo cha afya cha kata hiyo ambacho kimewarahisishia kupata matibabu karibu tofauti…

Silaa: Kuweni tayari kwa mabadiliko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuwa tayari kwa mabadiliko yenye lengo la kuiboresha sekta ya ardhi. Silaa amesema hayo leo tarehe 21 Septemba…

Madiwani wajipongeza kuvuka malengo ukusanyaji mapato Tarime

Na Helena Magabe, JamhuriMedia,Tarime MADIWANI katika Halmashauri ya Wilaya Tarime wamejipongeza kuvuka lengo ukusanyaji wa mapato ya ndani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika kikao cha baraza la Madiwani walisema wanatakiwa kujipongeza kwa kuvuka lengo kwa asilimia 116. Makisio ya ukusanyaji…

Tanzania yang’ara kwenye viwanda

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia amefungua kiwanda cha vifaa vya ujenzi (Sapphire Float Glass Tanzania), chenye thamani ya dola za Marekani milioni 311. Akizungumza wakati anafungua kiwanda hicho leo Mkuranga,…

Wananchi wahimizwa kuchangamkia fursa ya makaa ya mawe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati…