Latest Posts
Mwanafunzi HKMU apata udaktari na miaka 21
· Ni Ahlam Azam Mohamed avunja rekodi kuwa daktari mdogo zaidi · Madaktari 138 kutunukiwa Shahada Jumamosi Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia MWANAFUNZI wa udaktari, Ahlam Azam Mohamed, ameweka rekodi ya kuwa mwanafunzi mdogo kuliko wote kuwahi kutokea nchini kuhitimu Shahada…
Fedha za ndani ziwe tegemeo katika mapambano dhidi ya UKIMWI – Dkt. Biteko
📌Asema Serikali inaendelea na juhudi za kutokomeza UKIMWI Nchini Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia, Morogoro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na Tume ya…
50 wafanyiwa upasuaji Muhimbili kuondoa mtoto wa jicho kupitia tundu dogo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji wa kuondoa mtoto wa jicho kupitia njia ya kisasa ya matundu madogo (Phacoemulsification) ambapo katika hospitali za umma nchini inakua ya kwanza kufanya upasuaji wa ina hii. Mkurugenzi wa Huduma…
Serikali yagawa vishikwambi kwa madiwani Biharamulo
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Biharamulo KATIKA kuhakikisha taasisi za Umma nchini zinakwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia duniani kwa lengo la kurahisisha na kuboresha kazi,halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera imenunua vishikwambi 38 kwaajili ya kuepuka gharama za kutumia…
Breaking News: Rais Samia apokea barua ya Chongolo kujiuzulu
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameijulisha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kupokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, na ameridhia ombi hilo. Katibu wa NEC,…
MSD kukabidhiwa eneo la ujenzi wa ghala Arusha kabla ya Januari 2024
Na Mwandoshi Wetu, JakhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella, ameuhakikishia uongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) kuwakabidhi eneo la ujenzi wa ghala la kuhifadhia Bidhaa za Dawa kwa mkoa huo kabla ya mwezi Januari 2024 ili kurahisisha usambazaji…