Latest Posts
Muhimbili yafanya upasuaji waliokatika misuli na mishipa ya fahamu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili imewafanyia upasuaji rekebishi wagonjwa 23 waliopata ajali na kukatika baadhi ya misuli pamoja na mishipa ya fahamu katika sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo mikono na miguu. Kambi hiyo ilianza tarahe 20 hadi…
Hospitali tatu za Rufaa Dar zakabidhiwa ‘ambulance’
Na Mandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 28, amekabidhi magari matatu ya kisasa ya wagonjwa katika Hospitali za Rufaa za Mkoa huo ikiwemo Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala-Wilaya ya…
Matibabu ya moyo kuimarishwa
Na Mwandishi Maalumu – Dar es Salaam Wataalamu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na wenzao kutoka Hospitali ya Jimbo la Shandong la nchini China kuimarisha huduma katika tiba ya upasuaji wa moyo upande wa kupandikiza…
Chalamila awataka wakazi Dar kusajili watoto
Na Mwandishi, Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Albert Chalamila, amewataka wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake kujitokeza kwa wingi kusajili watoto walio chini ya miaka mitano mara zoezi…
Mwakabungu: Walimu 4,900 kunufaika na mafunzo ya utekelezaji wa mtaala mpya
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Pwani Walimu 4,900 wanatarajia kufikiwa na kunufaika na mafunzo ya utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu ya awali na msingi unaotarajia kuanza rasmi Januari 2024. Zoezi hilo linaendelea kwenye baadhi ya mikoa nchini kwa lengo la walimu…