JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali zz Mitaa yafurahishwa na Halmashauri ya Jiji Dodoma

Na. Dennis Gondwe, JamhuriMedia, Dodoma KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imefurahishwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma kujenga hoteli kwa ajili ya kuongeza mapato na kutoa huduma bora kwa wananchi. Kauli hiyo ilitolewa…

VETA kuwafikia vijana kupitia kongamano la ajira

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya ufundi stadi(VETA)kwa kushirikiana na Shirika la ushirikiano wa kimataifa la Ujerumani (GIZ) Kupitia programu ya kukuza Ajira na ujuzi kwa Maendeleo Afrika (E4D), imeandaa kongamano la Ajira litakakofanyika Agosti…

STAMICO yaileza kamati ya Bunge leseni inazomiliki

Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini…

Bunge lataka tija uwekezaji soko la jipya la Kariakoo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Denis Rondo amelitaka shirika la Masoko ya Kariakoo (KMC) kuhakikisha uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali kwa kutoa shilingi Bilioni 28.03…

Sekta zatakiwa kuchukua hatua stahiki uwepo wa El Nino

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado amezitaka sekta kuchukua hatua stahiki kipindi cha uwepo wa hali ya El Nino…

Watoto waliozaliwa wakiwa wameungana kufanyiwa upasuaji wa kutenganishwa Saud Arabia

Na Mwandishi Wetu. JamhuriMediaSerikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya…