JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yafanya utafiti mbadala wa zebaki kwa wachimbaji wadogo

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali imefanya utafiti kuhusu teknolojia mbadala wa zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha taarifa ya hatua zilizofikiwa juu ya uratibu…

Wagombea 58 wateuliwa kuwania ubunge, udiwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dodoma Wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa vyenye usajili kamili wameteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwania nafasi wazi ya Ubunge kwenye Jimbo la Mbarali lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali na kata sita za…

RC Tellack: Lindi siyo maskini

Na Mwandishi wetu, Ruangwa  Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Tellak amesema eneo hilo lina fursa nyingi za uwekezaji na utajiri mkubwa wa madini mbalimbali isipokuwa madini ya Tanzanite na Almas pekee. Tellak akizungumza mjini Ruangwa kwenye ufunguzi wa maonyesho…

Jafo: Tumeendelea kupata mafanikio makubwa kupitia muungano

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema mafanikio makubwa ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi yameendelea kupatikana kufuatia kupatikana kwa ufumbuzi wa hoja za Muungano katika vikao…