Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chama cha  Watu wenye Ualbino kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni19, 2024. Wa pili kulia ni Waziri Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi na   wa tatu kulia ni Naibu Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga.   (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)