Latest Posts
Tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa ukaa.
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa “Ibara ya 6.4” ya…
Uboreshaji majaribio wa daftali la kudumu la wapiga kura kufanyikaTabora, Mara
a Mwanndishi Wetu, JamhuriMedia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kufanya zoezi la uboreshaji wa majaribio wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Kata ya Ng’ambo iliyopo katika Manispaa ya Tabora, mkoani Tabora na Ikoma iliyopo katika Halmashauri…
Tanzania na Norway zajadili mradi wa gesi ya LNG
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini, Tone Tinnes ambapo mazungumzo yao yalijikita katika maeneo ya ushirikiano katika Sekta…
Undani, Ziara ya kitaifa ya Rais wa Romania nchini
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis, atafanya Ziara ya Kitaifa nchini kuanzia tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…
Wakazi wa bonde la mto Msimbazi kulipwa fidia kupisha uendelezaji wa bonde hilo
Hayo yamejiri Novemba 15, 2023 wakati Waziri wa Nchi Ofisi Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila alipokutana na wakazi hao katika viunga vya Ofisi za Young African Ilala Jijini Dar…
Vyuo vya Afya vyatakiwa kutumia mitaala inayoendana na wakati.
Na Mwandishi Wtu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete amewataka wadau wa afya nchini ikiwemo serikali kuwekeza kwenye vyuo vya afya kwa kuangalia mitaala inayotumika na njia zinazotumika kufundishia kwani zinapaswa kuendana na…