Latest Posts
CCM Zanzibar yajipanga majimbo yote kubaki 2025
Na Haji Mtumwa, Zanzibar Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Hemed Suleiman Abdulla amesema Chama Cha Mapinduzi kimejipanga kuhakikisha Majimbo yote yanabaki kuwa chini ya CCM ifikia Uchaguzi wa Dola wa mwaka 2025. Mjumbe huyo wa…
Katibu Mkuu: Serikali yaunga mkono UNI AWARDS
Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani…
DC Same awaonya viongozi wanaotengeneza migogoro ya ardhi
Mkuu wa wilaya ya same Kasilda Mgeni amewaonya viongozi wa serikali za vijiji dhidi ya tabia iliojikita kwa baadhi yao kutengeneza migogoro hasa ya ardhi ikiwa ni sehemu ya kujipatia kipato. Kasilda amesema amebaini maeneo mengi yenye migogoro imetengenezwa na…
Lori la mafuta lapata ajali na kuwaka moto Ubungo
Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA Lori linalosafirisha Mafuta limepata ajali na kuwaka moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi yaendayo Kasi cha Kibo barabara ya morogoro, jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika eneo la tukio…
Serikali kutekeleza mradi mkubwa wa maji Manispaa Singida
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa kwa mradi wa maji wa Miji 28 unaogharimu Sh.Bilioni 45. Akizungumza na waandishi wa habari Agosti…
Tume yatangaza uchaguzi mdogo wa Mbarali na kata sita
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya na kata sita za Tanzania Bara utafanyika Septemba 19, 2023. Akisoma taarifa kwa umma jijini Dodoma Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima amesema wagombea watachukua fomu…