Latest Posts
Jafo aweka msisitizo taasisi kutumia nishati mbadala
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,alhaj Dkt.Seleman Jafo amesisitiza matumizi ya Nishati mbadala katika Taasisi za umma na binafsi zenye watu zaidi ya 100 ,ili kuokoa gharama kubwa zinazotumika katika manunuzi ya…
Ummy:Mgao upya wa madaktari bingwa kupunguza changamoto ya huduma
Na Mwandishi Wetu, JamahuriMedia ,Dodoma Waziri wa afya Ummy Mwalimu amebainisha kuwa,katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madaktari bingwa katika baadhi ya hospitali za Rufaa za Mikoa, Wizara imelenga kugawa upya madaktari bingwa waliopo katika hospitali ili kukabiliana dhidi…
Rais Samia awataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hajjat.Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu iliyopo Nchini ili kutoa fursa kwa Serikali kuweza kuwaletea maendeleo wananchi wake. Rais Dkt. Samia aliyasema hayo katika Salamu zilizotolewa kwa niaba…
Bunge lapitisha bajeti ya ofisi ya Rais-TAMISEMI trilioni 9.1
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Tume ya Utumishi wa Waalimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 shilingi Trilioni 9.1…
Kamati kutathmini utekelezaji wa diplomasia ya uchumi yaanza kazi rasmi
Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kutathimini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeanza kazi rasmi kwa kukutana na Waziri wa Wizara hiyo,Dkt. Stergomena Tax jijini…