JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DART kushiriki kampeni ya upandaji mitimilioni ya Benki ya NMB

Taasisi ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Mwendokasi) – DART wameungana na Benki ya NMB kupitia kampeni yao inayozidi kushika kasi ya Upandaji Miti Milioni kwa mwaka 2023, kwa kupanda miti 1,000 aina ya ‘Jacaranda’ katika ushoroba wa Bus Rapid…

Baba ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake

Amani Martin mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anashikiliwa na Jeshi la Polisi tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na kumsababishia maumivu makali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan…

Raila Odinga aitisha mkutano kabla ya mazungumzo na serikali

Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya umetangaza mipango ya kufanya”mazungumzo ya moja kwa moja” na umma wakati ukijiandaa kwa mazungumzo na serikali kuhusu mageuzi kuhusu uchaguzi. Muungano huo wa Azimio la Umoja, unaoongozwa na mwanasiasa mkongwe wa upinzani Raila Odinga,…

Serikali kuajiri wataalamu wa afya 12

Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, katika mwaka 2023 Serikali imepanga kuajiri Wataalamu wa afya 12,000, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha huduma kwa wananchi hasa maeneo yenye upungufu wa Watumishi na kupunguza changamoto ya…

UVCCM yawaonya vijana kuwa chawa

Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM,) Mkoa wa Njombe imeonya na kupiga marufuku vijana kuwa chawa kwa lengo la kutafuta uongozi au kipato na kuwataka kutumia njia sahihi za kupambania chama kwa kuwa kina utaratibu mzuri…

Ghasia:Ugawaji maeneo ya biashara Kariakoo kuwa wa uwazi

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Masoko ya Kariakoo Hawa Abdulrahman Ghasia amesema bodi hiyo imejipanga kuhakikisha mradi wa ukarabati na ujenzi wa soko la Kariakoo utakamilika ndani ya muda wa mkataba na kwa ubora ambapo ugawaji wa…