Latest Posts
Simba Queens kunyukana na Yanga Princess kesho
Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wababe wa Soka la Bongo kwa upande wa Wanawake Simba Queens na Yanga Princess kesho Jumatano (Machi 22) wataingia dimbani kupapatuana katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania. Katika mchezo huo Yanga Princess watakua…
Kamati ya kuchakata data za hali ya hewa duniani yakutana Tanzania
Tanzania imekuwa mwenyeji wa mkutano wa Kamati ya Kuchakata Data za Hali ya Hewa Duniani, lengo ikiwa ni kuhakikisha data za hali ya hewa zinatumika ipasavyo na taasisi za hali ya hewa katika nchi wanachama wa Shirika la Hali ya…
Mchungaji afunga kanisa baada ya kushinda Mil.100 za betting
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mchungaji mmoja kutoka nchini Uganda amefunga kanisa lake baada ya kushinda sh. Milioni 100 kwenye mchezo wa bahati nasibu (betting). Machi 16, mwaka huu, mtandao mmoja Uganda ulichapisha taarifa za mchungaji huyo akieleza kuwa ameamua…
Rais wa Kenya asema hakuna mtu aliye juu ya sheria
Rais William Ruto amesema kwamba hatakubali “kutoijali nchi” baada ya maandamano ya ghasia kukumba mji mkuu, Nairobi na mji wa magharibi wa Kisumu. Maandamano hayo yaliandaliwa na mwanasiasa wa upinzani Raila Odinga ambaye analaumu sera za serikali kwa kuzidisha kupanda…
Michuano ya robo fainali za kombe la shirikisho kuanza April
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la soka Tanzania ‘TFF’ hatimaye limeweka bayana tarehe maalum za michezo minne ya hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ msimu huu 2022/2023. Taarifa hiyo muhimu imetolewa kupitia vyanzo vya habari…